Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Bw. Aliphayo Kidata akizungumza na watumishi wa mamlaka hiyo mkoani Kigoma wakati alipofika mkoani hapo akielekea wilayani Kasulu kuzungumza na wafanyabiashara kuhusu changamoto mbalimbali za kikodi zilizojitokeza hivi karibuni. Mwandishi Wetu -Kasulu Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Alphayo Kidata…