Na Mwandishi wetu, Dar Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Liberata Mulamula, amemuaga Balozi wa Oman nchini, Ally Abdallah Almahruqi ambaye amemaliza muda wake wa uwakilishi. Balozi Mulamula amempongeza Almahruqi kwa kazi nzuri aliyoifanya ya kudumisha uhusiano wa kidiplomasia kati ya Oman na Tanzania wakati…