Na Mwandishi Wetu, Pemba Viongozi wa Chama Cha ACT Wazalendo, wakiongozwa na Kiongozi wao,Zitto Kabwe, leo Agosti 9, 2021 wameanza ziara ziara ya siku mbili kwenye mikoa ya Kichama Pemba. Wengine ni Makamu Mwenyekiti Zanzibar, Juma Duni Haji, Katibu Mkuu Ado Shaibu na Mjumbe wa Kamati Kuu ambaye pia ni…