Na Ashura Kazinja, Morogoro. MASHABIKI wa mchezo wa ngumi mkoani Morogoro wamemtahadharisha bondia Abdallah Pazi ‘Dulla Mbabe’, kujiandaa na kipigo kutoka kwa Twaha Kiduku katika pambano lao la kushindania gari litakalofanyika Agosti 20, 2021 jijini Dar es Salaam. Wakizungumza kwa nyakati tofauti wadau hao akiwamo Nestory Alexander, wamesema mchezo wa…