Ni wazi kuwa wote tuna angalia Notification kuliko sehemu yoyote kwenye simu zetu, lakini ni wazi kuwa sehemu hii pia ni sehemu sumbufu kuliko sehemu nyingine kwenye simu zetu.Kuliona hili leo nimekuletea njia rahisi ambayo itakusaidia kuweza kuzuia Notification au taarifa Sumbufu kwenye simu yako ya Android. Njia hii ni…