Ni wazi kuwa ushakutana na ushauri mwingi sana unapotaka kununua laptop, lakini ukweli ni kwamba kila mtu ana pendekezo lake hasa kulingana na kazi au hitaji lake ikiwa pamoja na uwezo wa kumudu bei.Sasa kuliona hili leo nimeona nikuletee makala ya tofauti ambayo naamini haita kuchosha ambayo itakusaidia sana kuweza…