Na Mwandishi Wetu, Mtanzania Digital SERIKALI imeagiza Wakala wa Usajili,Ufilisi na Udhamini (RITA), kuhakikisha viongozi wa dini wanaofungisha ndoa wote wanasajiliwa kwenye mtandao wa E elekrtoniki. Akizingumza wakati wa siku ya usajili wa matukio ya binadamu na takwimu barani Afrika, Dar es Salaam leo, Waziri wa Katiba na Sheria, Profesa…