Kutokana na ushindani uliopo ambao umesababishwa na kutokuwa na uwiano sahihi kari ya kazi zilizopo na idadi ya wahitimu wanaotafuta ajira, wanafunzi wanazidi kukabiliana na shinikizo la kuboresha sifa zao za kitaaluma pamoja na kuongeza ujuzi wenye manufaa ambao utawafanya wawe na nafasi nzuri ya ushindani na hatimaye kuweza kuwa…