Bunda, Mara 08/08/2021. Siku ya Tarehe 8/8/2021 kundi la wadau wa maendeleo Mkoa wa Mara wanaoishi na kufanya kazi sehemu mbali mbali hapa nchini (Mara Investors) limekabidhi jengo kwa ajili ya ofisi ya Serikali ya Mtaa ili kusaidia huduma za kiutawala kwa wakazi wa mtaa wa Serengeti Kata ya Nyatwali…