Tanzania inaendelea kupiga Hatua kiuchumi na kiteknolojia hivyo Taasisi za fedha hazina budi kuwasogezea wananchi huduma hizo karibu kwa njia ya kidigital ili kuwasaidia kuokoa muda wanaotumia kutembea mwendo mrefu kufuata huduma. Ameyasema hayo jijini Dar es salaama mkuu wa kitengo cha masoko na mawasiliano Akiba benk Dora Saria katika…