Naibu Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Mhe. Mwita Waitara amemtaka Askofu Josephat Gwajima ambaye ni Mbunge wa Jimbo la Kawe asichanganye siasa kwenye mambo ya msingi na yanayohusu afya za Watanzania. Amesema kama hakubaliani na viongozi wake, basi ajivue ubunge kwani hakuna sababu ya kutumikia mabwana wawili. Naibu Waziri wa…