Shinyanga. Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe amesema wanawake 19 waliofukuzwa uanachama baada ya kuapishwa kuwa wabunge bila idhini ya chama hicho ni wapambaji baada ya kujengewa msingi mzuri. Mbowe amesema licha ya kukisaliti chama hicho, bado kina wanachama wengi wanawake wanaoweza kufanya kazi nzuri ya kuijenga Chadema na kuleta mabadiliko…