Mkuu wa Mauzo wa Kanda ya Dar es Salaam na Pwani wa Vodacom Tanzania, Brigita Stephen akimuelezea mkazi wa Bunju- Dare es Salaam baadhi ya huduma zitolewazo na kampuni hiyo kwenye kampeni ya ‘Kimbiza na 4G ya Ukweli’. Kampeni hiyo ina lengo la kuifahamisha jamii kuhusu kasi na uhakika wa…