Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, leo Ijumaa Septemba, 10, 2021 amemteua Dkt. Stergomena Lawrence Tax kuwa Mbunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Mhe. Dkt. Tax ameteuliwa kutoka kwenye nafasi kumi za Wabunge wa kuteuliwa na Rais. Kabla ya uteuzi huo, Mhe.…