Sharifa Mmasi,Mtanzania Digital KATIBU Mkuu wa Baraza la Michezo Zanzibar (BMTZ), Suleiman Koleza amesema kwa sasa visiwani humo hakuna uongozi wa Chama cha Mpira wa Kikapu (BAZA) hadi hapo mipango itakapo kamilika ili uchaguzi mkuu ufanyike. Ikumbukwe kuwa BAZA ilitakiwa kufanya uchaguzi wake Julai 16 mwaka huu lakini haikuwa hivyo…