NA WINFRIDA MTOI, Mtanzania Digital MAFUNZO ya Makomando wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) na Jeshi la Marekani (U.S.Amry), yamefikia tamati leo Septemba 10, 2021, ambapo Mkuu wa Mafunzo na Utendani Kivita wa Kamandi ya Jeshi la Nchi Kavu, Brigedia Jenerali Iddi Nkambi amesema lengo ni kukabiliana na vitendo…