Waziri mkuu Kassim Majaliwa anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika mbio za hisani zilizoandaliwa na Benki ya NMB. Mbio hizo maarufu kama NMB marathon zinalenga kukusanya kiasi cha Tsh/= Bilioni 1 ndani ya miaka minne, zitakazosaidia matibabu ya Fistula kwa wanawake wasio na uwezo. Akizungumza na waandishi wa habari leo Septemba…