Sharifa Mmasi,Mtanzania Digital KATIBU Mkuu wa Chama cha Waendesha Baiskeli Mkoa wa Lindi (CHABALI), Said Kengele, amemsihi Waziri Mkuu Kassim Majaliwa kuwatazama kwa jicho la tatu ili kuendelea kuinua vipaji vya vijana vinavyoendelea kupotea kila siku. Akizungumza na Mtanzania Digital, Kengele amesema kuwa, miaka ya nyuma aliwahi kumgusia Waziri huyo…