Katika kuadhimisha miaka 20 tangu tukio la kigaidi lililofanywa na kikundi cha kigaidi cha Al Qaeda chini ya Osama Bin Laden nimekuandalia makala kuhusu tukio la kihistoria lililoshika vichwa vingi cha habari la septemba 11. Pengine Marekani yote na dunia nzima tumeachiwa alama na Al Qaeda na ndiyo sababu hata…