Na Upendo Mosha,Moshi SERIKALI mkoani Kilimanjaro imezitaka tasisi zake zenye madeni sugu ya ankara za maji kulipa madeni hayo ya zaidi ya sh.bil.3 katika bajeti zao za mwaka. Aidha Mamlaka ya Maji na Usafi wa Mazingira Moshi (MUWSA),tayari imeweka utaratibu wa kupunguza madeni hayo kwa kuthibiti kukua kwake kwa kufunga…