Na Mwandishi Wetu, Mtanzania Digital Baada ya kutoa albamu yake ya tano ‘GRACE’ (kupitia TheCapMusic) na nyimbo nyingi, msanii aliyeshinda tuzo kibao, mtayarishaji na mtunzi wa nyimbo, DJ Spinall amerudi na remix ya wimbo wake wa ‘Sere’ akiwa na Fireboy DML na 6lack ambaye ni mshindi wa Tuzo ya Grammy…