Mkurugenzi wa Manispaa ya Shinyanga, Geofrey Mwangulumbi akifafanua mambo mbalimbali kwa Waziri wa Tamisemi, Ummy Mwalimu wakati wa ziara ya kukagua maendeleo ya mradi wa machinjio ya Kisasa ya Ndembezi. Na Damian Masyenene, Shinyanga Watumishi wanne wa Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga mkoani hapa ambao wanadaiwa kuwa sehemu ya kukwama…