Mwandishi Wetu Mbunge wa Jimbo la Dodoma Mjini Anthony Mavunde, amevutiwa na kuwapongeza vijana wa Kikundi cha Vijana cha IJEN jijini humo kwa matumizi sahihi ya teknolojia katika kuleta ufumbuzi kwenye jamii. Mavunde ametoa pongezi hizo wakati akifungua duka la bidhaa za mboga mboga la…