Na Upendo Mosha,Moshi Mahakama ya Wilaya ya Hai, mkoani Kilimanjaro imemuhukumu aliyekuwa Mhasibu wa Halmashauri hiyo, Gerald Lyatuu kwenda jela miezi sita baada ya kupatikana na hatia ya ubadhirifu wa mali za umma na kughushi nyaraka. Mhasibu huyo alitiwa hatiani kwa makosa mawili ya kughushi stakabadhi za kukusanya mapato ya…