Na Winfrida MtoiWaziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo, Innocent Bashungwa, amekutana na viongozi wa taasisi za soka nchini, kujadili sakata la kuahirishwa mchezo wa Simba na Yanga na kukubaliana kurudiwa kwa mechi hiyo. Mchezo huo ulikuwa uchezewe Mei 8, 2021 kwenye uwanja wa Mkapa, Dar es Salaam, hivyo Bashungwa…