“Tumezindua simu ya kisasa zaidi ‘Infinix Hot 10t’ kwenye soko letu la Tanzania na sasa wateja wetu kote nchini wataweza kupata mtandao wa 4G kwa kupitia simu hizi”.Mkumbo Muyonga-Meneja wa bidhaa za intaneti Tigo Dar es Salaam. 11 Mei 2021. Kampuni inayoongoza katika mageuzi ya kidigitali nchini Tanzania, Tigo ikishirikiana…