Bashiri na Meridianbet, Uwe Miongoni Mwa Mabingwa! Baada ya michezo ya wiki ya kwanza kunako soka barani Ulaya, wiki ya pili hii hapa! Burudani inaendelea wikiendi hii ndani ya viwanja mbalimbali, Meridianbet mambo yapo hivi; Ijumaa hii tunaanzia kule Ubelgiji. Standard Liege kuchuana na KV Oostende kunako First Division A.…