Afisa mtendaji wa Benki ya NMB Bi Ruth Zaipuna(kulia) akimkabidhi tuzo mjumbe wa bodi NMB (kushoto) ikiwa ni kwa niaba ya mwenyekiti wa bodi hiyo. Benki ya NMB imebuka kidedea na kushika nafasi ya kwanza nchini Tanzania kwa mwaka 2021 katika tuzo zilizoandaliwa na jarida maarufu nchini Uingereza lenye makao…