Na Wandishi Wetu Simba imeanza kuliamsha baada ya leo kumsainisha mkataba wa miaka mitatu mchezaji aliyekuwa anasubiriwa kwa hamu na Wanamsimbazi, Peter Banda raia wa Malawi kutoka timu ya Big Bullet. Banda anacheza nafasi ya kiungo, lakini ana uwezo wa kumudu sehemu nyingine ikiwamo ushambulaji. Nyota huyo anakuwa wa kwanza…