Waziri wa Teknolojia ya Habari na Mawasiliano, Dk. Faustine Ndugulile (wa pili kushoto), Afisa Mkuu wa Biashara na Wateja Binafsi Benki ya NMB, Filbert Mponzi (wa tatu kulia), wakipiga makofi wakati wa uzinduzi wa huduma ya NMB Mkononi Plus uliofanyika Makao Makuu ya NMB – jijini Dar es Salaam. kutoka…