Na Brighiter Masaki, Mtanzania Digital Naibu Waziri wa Afya Dk. Godwin Mollel, amewataka viongozi wa dini kutumia nafasi yao katika jamii juu ya utekelezaji wa dawa kinga ya virusi vya Ukimwi. Akizungumza leo Agosti 17, Dar es Salaam wakati aliposhiriki kikao cha Uraghibishaji (Advocacy) juu ya utekelezaji wa dawa kinga…