Mtandao wa kijamii wa Telegram katika toleo lake jipya la mwezi huu umebainisha wazi kuwa sasa watumiaji wa mtandao huo wanaweza kushiriki katika simu ya video “Video call” hata wakiwa 1000. Mtandao huo ambao unauwezo wa kuunda vikundi yaani groups za watu hata 100,000 umeeleza kuwa watu hao 1000 pekee…