Na Hadija Omary Lindi Maziwa ya awali ya mama ndio msingi wa mtoto kupata virutubisho muhimu vitakavyoweza kumfanya awe na kinga za kutosha katika kupambana na magonjwa katika ukuwaji wake.Hayo yameelezwa na Afisa Lishe wa Manispaa ya Lindi mkoani humo, Mwenda Gela alipokuwa anazungumza na Mtanzania Digital ofisini kwake hivi…