Na Mwandishi Wetu, Mtanzania Digital Mbunge wa Jimbo la Segerea, Bonnah Kamoli, amesema ataendelea kushirikiana na madiwani wote wa jimbo hilo kuibua vipaji vya vijana katika michezo mbalimbali. Diwani wa Kata ya Kipawa, Aidan Kwezi, akisalimiana na timu ya wanawake wakati wa ufunguzi wa mashindano ya mpira wa miguu aliyoyaandaa…