Na Derick Milton, Simiyu Shirika la Amref Health Africa limesema kuwa kupitia mradi wake wa Afya Kamilifu ambao unatekelezwa katika mikoa ya Simiyu, Tanga pamoja na Zanzibar limefanikiwa kupunguza idadi kubwa ya watu ambao wanaishi na VVU kupotea katika matibabu. Kwa Mkoa wa Simiyu, Shirika hilo limeeleza kuwa katika halmashauri…