MWANAUME mmoja aliyejulikana kwa jina la Fredrick Opiyo mwenye umri wa miaka 50 amekutwa amefariki dunia katika nyumba ya kulala wageni ya Ruragokaunti ya Muranga nchini Kenya huku kifo chake kikileta utata. Ripoti ya polisi imesema kuwa huenda jamaa huyo alimeza vidonge vya kuongeza nguvu za kiume kupita kiasi. Mlinzi…