WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameutaka uongozi wa mgodi wa dhahabu wa Namungo kuhakikisha wanaweka mazingira mazuri yatakayowawezesha wachimbaji wadogo kunufaika. Pia, Waziri Mkuu ameagiza mmiliki wa mgodi huo, afike Ofisi ya Waziri Mkuu Dodoma Septemba 10, 2021 akaeleze mipango yake ya kuendeleza mgodi huo pamoja na wachimbaji wadogo. Ametoa maagizo…