Na Derick Milton, Simiyu WAKULIMA mkoani Simiyu wameiomba Serikali kupitia Taasisi ya Utafiti wa Kilimo (TARI) kuwasogezea huduma ya maabara ya udongo ili waweze kujua hali ya udongo katika mashamba yao pia waweze kuzalisha kulingana na mahitaji ya eneo husika. Aidha, wamesema wakulima wengi hawafahamu sifa za udongo na hali…