Na Mwandishi Wetu, Liwale WAJASIRIAMALI na wenye viwanda wilayani Liwale mkoani Lindi wametakiwa kujitokeza Shirika la Viwango Tanzania (TBS) kwa ajili ya kupata alama ya ubora, hatua ambayo itawawezesha kuondokana na vikwazo vya kibiashara na kupanua wigo wa soko la bidhaa zao. Wito huo umetolewa kwa nyakati tofauti jana na…