“Kwa dhati kabisa tunatambua wateja wetu wana ndoto & malengo yao na sasa huu ni muda muafaka kwa wateja wetu ku #TestiZaliNaTigo na waweze kuwa washindi wa fedha mwishowe waweze kufikia malengo” Woinde Shisael-Menaja mawasiliano Tigo. “Kutakuwa na washindi wa papo kwa papo kujishindia Tsh 1K, 10K, 100K na 500K…