Shirika la Ndege la Marekani American Airlines limepiga marufuku ugawaji wa pombe kwenye ndege hadi mwakani 2022. Shirika hilo limesema kuwa kutokana na sheria iliyowekwa na nchi hiyo ya kuvaa barakoa, shirika halina budi kutogawa pombe kama moja ya vinywaji vinavyotolewa na shirika hilo wakati mteja akiwa safarini. Shirika hilo…