Na Derick Milton, Meatu Taasisi ya Utafiti wa Wanyamapori Tanzania (TAWIRI) kwa kushirikiana na Wizara ya maliasili, wameendelea kutoa elimu kwa wananchi wanaopakana na hifadhi za wanyama, mapori ya akiba jinsi ya kupambana na wanyama waharibifu ikiwemo Tembo. Taasisi hiyo imeendelea kufundisha wananchi hao mbinu mbalimbali za kupambana na wanyama…