Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan (katikati) akikata utepe kuzindua Afisi ya Maendeleo kata ya Kizimkazi Dimbani na nyumba mbili za madaktari zilizonjengwa kwa ufadhili wa Benki ya CRDB na kugharimu shilingi milioni 300. Wengine pichani ni, Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Utumishi na Utawala…