Mashuhuda wameeleza kuwa Gift Mushi aliyepigwa risasi jana alikumbwa na tukio hilo, baada ya kumshauri Alex Korosso aache tabia ya kuwatishia watu kuwapiga risasi wakati wakipata kinywaji. Tukio hilo la kusikitisa lilitokea jana Julai 17,2021 katika baa ya New Lemax iliyopo maeneo ya Sinza kwa Remmy Mashuhuda wamesema siku ya…