Mange Kimambi ameandika haya: Hata wasiposhinda urais ila bungeni ni muhimu kuwa na upinzani atleast unaokaribia 50%. Na pia muda wa ubunge upunguzwe uwe only 2 years kama hapa marekani. Hapo wabunge wanakuwa hawa relax hata kidogo. Miaka 5 mingi mnooo. Hapa marekani kuna wabunge special (senate)100 tu hao ndo…