Maafisa biashara nchini wametakiwa kutambua kuwa jukumu lao kuu ni kuwezesha ufanyaji wa biashara badala ya kuwa wakusanya mapatato shughuli ambayo ni sehemu tu ya kazi ambayo wanatakiwa kuifanya.Akizungumza wakati wa kufungua mafunzo ya sheria za leseni za biashara kwa maafisa biashara wa mikoa ya Dodoma, Singida na Morogoro, yanayofanyika…