Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imeifuta kesi ya wafuasi 27 wa Chadema wakiwemo wabunge watatu waliokuwa wanakabiliwa na mashtaka ya kufanya mkusanyiko na kutotii amri halali katika geti la gereza la Segerea. Washtakiwa hao wamefutiwa kesi hiyo na kuachiwa huru leo Jumatano Mei 5, 2021 na mahakama hiyo baada ya…