Afisa Biashara Mkuu wa makampuni ya GSM , Allan Chonjo (kulia) akizungumza na waandishi wa habari wakati wa uzinduzi wa huduma mpya ya kununua bidhaa za GSM kwa kulipia kidogo kidogo “LAYBY – Lipa Kidogo Kidogo” ambapo mteja atachagua bidhaa anayohitaji na kuingia katika makubaliano yanayompa uhuru wa kulipia…