Kama wewe ni msomaji wa tovuti ya Tanzania Tech ni wazi kuwa unajua kuwa mara nyingi tumekuwa tunaongelea zaidi kuhusu apps nzuri za kuinstall kwenye simu yako. Lakini kwa siku ya leo tunaenda kuongelea kinyume chake.Kupitia makala hii tutaenda kuangalia apps ambazo ni hatari kwa simu yako na ambazo kwa…