Baada ya wachezaji wa Uingereza kufanyiwa ubaguzi wa rangi wakati wa mechi na Hungary, shirika la mpira duniani FIFA limesema litachukua hatua stahiki uchunguzi utakapokamilika. Tamko la FIFA limekuja wakati mashabiki wa Hungary wakiandamwa kwa vitendo vya ubaguzi wa rangi walivyovifanya vikiwemo kufanya vitendo vya nyani siku ya mechi ya…